IFM logo
IFM logo

TRAINING ON PRACTICAL ASPECTS OF HEET PROJECT GOVERNANCE, RISK MANAGEMENT AND CONTROL - ARUSHA DEC 2023

Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali Bw. Benjamin Mashauri Magai akiwa katika picha ya pamoja na washiriki kutoka Chuo cha Usimamizi wa Fedha(IFM), waliohudhuria Mafunzo ya Usimamizi wa Viatarishi, yalifanyika tarehe 4-8 Disemba 2023, Arusha.