IFM logo
IFM logo

USHIRIKISHWAJI WA WADAU SIMIYU SEPTEMBER 2025

Watendaji wa vijiji, wenyeviti vijiji na wenyeviti wa vitongoji vya vijiji vya Sapiwi na Mwandama wakiwa kwenye kikao cha ushirikiswaji wa mradi wa HEET wakionyeshwa majengo na wakielezwa kuhusu matumizi ya majengo tarehe 11/09/2025