Waratibu wa Mradi wa Elimu ya Juu Kwa Mageuzi Ya Kiuchumi (HEET) kutoka Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) wakiudhuria Mafunzo ya Usimamizi wa viatarishi, yaliofanyika katika ukumbi Taasisi ya Sayansi Na teknolojia ya Nelson Mandela NM-AIST) tarehe 4 – 8 Disemba 2023, Arusha.